1 Nyakati 23:2
1 Chronicles 23:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
1 Chronicles 23:2 in English
1 Chronicles 23:2 · Berean Standard Bible
Then he gathered all the leaders of Israel, as well as the priests and Levites.
Context
1Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Solomoni mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli. 2Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi. 3Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa 38,000. 4Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.