Native Bible

1 Chronicles 23:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Solomoni mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli.

1 Chronicles 23:1 in English

1 Chronicles 23:1 · Berean Standard Bible

When David was old and full of years, he installed his son Solomon as king over Israel.

Context

1Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Solomoni mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli. 2Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi. 3Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa 38,000.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.