1 Nyakati 23:21
1 Chronicles 23:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Wana wa Mahli walikuwa: Eleazari na Kishi.
1 Chronicles 23:21 in English
1 Chronicles 23:21 · Berean Standard Bible
The sons of Merari: Mahli and Mushi. The sons of Mahli: Eleazar and Kish.
Context
19Wana wa Hebroni walikuwa:
Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. 20Wana wa Uzieli walikuwa:
Mika wa kwanza na Ishia wa pili. 21Wana wa Merari walikuwa:
Mahli na Mushi.
Wana wa Mahli walikuwa:
Eleazari na Kishi. 22Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa. 23Wana wa Mushi:
Mahli, Ederi na Yeremothi; wote walikuwa watatu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.