1 Nyakati 23:23
1 Chronicles 23:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Mushi: Mahli, Ederi na Yeremothi; wote walikuwa watatu.
1 Chronicles 23:23 in English
1 Chronicles 23:23 · Berean Standard Bible
The sons of Mushi: Mahli, Eder, and Jeremoth *—three in all.
Context
21Wana wa Merari walikuwa:
Mahli na Mushi.
Wana wa Mahli walikuwa:
Eleazari na Kishi. 22Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa. 23Wana wa Mushi:
Mahli, Ederi na Yeremothi; wote walikuwa watatu. 24Hawa walikuwa wazao wa Lawi kwa jamaa zao. Wakuu wa jamaa kama walivyoandikwa kwa majina yao na kuhesabiwa kila mmoja, yaani, wenye uwezo wa kufanya kazi kuanzia miaka ishirini au zaidi, waliohudumu katika Hekalu la Bwana. 25Kwa maana Daudi alikuwa amesema, “Kwa vile Bwana, Mungu wa Israeli amewapa watu wake raha na amekuja kuishi Yerusalemu milele,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.