1 Nyakati 23:22
1 Chronicles 23:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa.
1 Chronicles 23:22 in English
1 Chronicles 23:22 · Berean Standard Bible
Eleazar died without having any sons; he had only daughters. Their cousins, the sons of Kish, married them.
Context
20Wana wa Uzieli walikuwa:
Mika wa kwanza na Ishia wa pili. 21Wana wa Merari walikuwa:
Mahli na Mushi.
Wana wa Mahli walikuwa:
Eleazari na Kishi. 22Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa. 23Wana wa Mushi:
Mahli, Ederi na Yeremothi; wote walikuwa watatu. 24Hawa walikuwa wazao wa Lawi kwa jamaa zao. Wakuu wa jamaa kama walivyoandikwa kwa majina yao na kuhesabiwa kila mmoja, yaani, wenye uwezo wa kufanya kazi kuanzia miaka ishirini au zaidi, waliohudumu katika Hekalu la Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.