1 Nyakati 23:20
1 Chronicles 23:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Uzieli walikuwa: Mika wa kwanza na Ishia wa pili.
1 Chronicles 23:20 in English
1 Chronicles 23:20 · Berean Standard Bible
The sons of Uzziel: Micah was the first and Isshiah the second.
Context
18Wana wa Ishari:
Shelomithi alikuwa wa kwanza. 19Wana wa Hebroni walikuwa:
Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. 20Wana wa Uzieli walikuwa:
Mika wa kwanza na Ishia wa pili. 21Wana wa Merari walikuwa:
Mahli na Mushi.
Wana wa Mahli walikuwa:
Eleazari na Kishi. 22Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.