Native Bible

1 Chronicles 23:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu.

1 Chronicles 23:19 in English

1 Chronicles 23:19 · Berean Standard Bible

The sons of Hebron: Jeriah was the first, Amariah the second, Jahaziel the third, and Jekameam the fourth.

Context

17Wazao wa Eliezeri: Rehabia alikuwa wa kwanza. Eliezeri alikuwa na mwana mmoja tu, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana. 18Wana wa Ishari: Shelomithi alikuwa wa kwanza. 19Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. 20Wana wa Uzieli walikuwa: Mika wa kwanza na Ishia wa pili. 21Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Wana wa Mahli walikuwa: Eleazari na Kishi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.