1 Nyakati 23:18
1 Chronicles 23:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Ishari: Shelomithi alikuwa wa kwanza.
1 Chronicles 23:18 in English
1 Chronicles 23:18 · Berean Standard Bible
The sons of Izhar: Shelomith was the first.
Context
16Wazao wa Gershomu:
Shebueli alikuwa wa kwanza. 17Wazao wa Eliezeri:
Rehabia alikuwa wa kwanza.
Eliezeri alikuwa na mwana mmoja tu, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana. 18Wana wa Ishari:
Shelomithi alikuwa wa kwanza. 19Wana wa Hebroni walikuwa:
Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. 20Wana wa Uzieli walikuwa:
Mika wa kwanza na Ishia wa pili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.