Native Bible

1 Chronicles 23:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wazao wa Gershomu: Shebueli alikuwa wa kwanza.

1 Chronicles 23:16 in English

1 Chronicles 23:16 · Berean Standard Bible

The descendants of Gershom: Shebuel was the first.

Context

14Wana wa Mose mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi. 15Wana wa Mose walikuwa: Gershomu na Eliezeri. 16Wazao wa Gershomu: Shebueli alikuwa wa kwanza. 17Wazao wa Eliezeri: Rehabia alikuwa wa kwanza. Eliezeri alikuwa na mwana mmoja tu, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana. 18Wana wa Ishari: Shelomithi alikuwa wa kwanza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.