1 Nyakati 23:15
1 Chronicles 23:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Mose walikuwa: Gershomu na Eliezeri.
1 Chronicles 23:15 in English
1 Chronicles 23:15 · Berean Standard Bible
The sons of Moses: Gershom and Eliezer.
Context
13Wana wa Amramu walikuwa:
Aroni na Mose.
Aroni waliwekwa wakfu, yeye na wazao wake milele, wawe wakiweka wakfu vitu ambavyo ni vitakatifu mno, kutoa dhabihu mbele za Bwana, kuhudumu mbele zake na kutamka baraka katika Jina la Bwana milele. 14Wana wa Mose mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi. 15Wana wa Mose walikuwa:
Gershomu na Eliezeri. 16Wazao wa Gershomu:
Shebueli alikuwa wa kwanza. 17Wazao wa Eliezeri:
Rehabia alikuwa wa kwanza.
Eliezeri alikuwa na mwana mmoja tu, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.