Native Bible

1 Chronicles 2:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwana wa Karmi alikuwa: Akari,* ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu.

1 Chronicles 2:7 in English

1 Chronicles 2:7 · Berean Standard Bible

The son * of Carmi: Achar,* who brought trouble upon Israel by violating the ban on devoted things.

Context

5Wana wa Peresi walikuwa: Hesroni na Hamuli. 6Wana wa Zera walikuwa: Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Dara. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano. 7Mwana wa Karmi alikuwa: Akari,* ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu. 8Mwana wa Ethani alikuwa: Azariya. 9Wana wa Hesroni walikuwa: Yerameeli, Ramu na Kalebu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.