1 Nyakati 2:6
1 Chronicles 2:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Zera walikuwa: Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Dara. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano.
1 Chronicles 2:6 in English
1 Chronicles 2:6 · Berean Standard Bible
The sons of Zerah: Zimri,* Ethan, Heman, Calcol, and Dara *—five in all.
Context
4Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano. 5Wana wa Peresi walikuwa:
Hesroni na Hamuli. 6Wana wa Zera walikuwa:
Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Dara. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano. 7Mwana wa Karmi alikuwa:
Akari,* ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu. 8Mwana wa Ethani alikuwa:
Azariya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.