Native Bible

1 Chronicles 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Peresi walikuwa: Hesroni na Hamuli.

1 Chronicles 2:5 in English

1 Chronicles 2:5 · Berean Standard Bible

The sons of Perez: Hezron and Hamul.

Context

3Wana wa Yuda walikuwa: Eri, Onani na Shela. Hawa watatu walizaliwa kwake na mkewe Mkanaani, binti wa Shua. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana alimuua. 4Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano. 5Wana wa Peresi walikuwa: Hesroni na Hamuli. 6Wana wa Zera walikuwa: Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Dara. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano. 7Mwana wa Karmi alikuwa: Akari,* ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.