Native Bible

1 Chronicles 2:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwana wa Ethani alikuwa: Azariya.

1 Chronicles 2:8 in English

Context

6Wana wa Zera walikuwa: Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Dara. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano. 7Mwana wa Karmi alikuwa: Akari,* ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu. 8Mwana wa Ethani alikuwa: Azariya. 9Wana wa Hesroni walikuwa: Yerameeli, Ramu na Kalebu. 10Ramu alimzaa Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.