1 Nyakati 2:9
1 Chronicles 2:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Hesroni walikuwa: Yerameeli, Ramu na Kalebu.
1 Chronicles 2:9 in English
1 Chronicles 2:9 · Berean Standard Bible
The sons who were born to Hezron: Jerahmeel, Ram, and Caleb.*
Context
7Mwana wa Karmi alikuwa:
Akari,* ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu. 8Mwana wa Ethani alikuwa:
Azariya. 9Wana wa Hesroni walikuwa:
Yerameeli, Ramu na Kalebu. 10Ramu alimzaa
Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda. 11Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.