1 Nyakati 2:11
1 Chronicles 2:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,
1 Chronicles 2:11 in English
1 Chronicles 2:11 · Berean Standard Bible
Nahshon was the father of Salmon,* and Salmon was the father of Boaz.
Context
9Wana wa Hesroni walikuwa:
Yerameeli, Ramu na Kalebu. 10Ramu alimzaa
Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda. 11Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi, 12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese. 13Yese akawazaa
Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.