Native Bible

1 Chronicles 2:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yese akawazaa Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,*

1 Chronicles 2:13 in English

1 Chronicles 2:13 · Berean Standard Bible

Jesse was the father of Eliab his firstborn; Abinadab was born second, Shimea * third,

Context

11Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi, 12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese. 13Yese akawazaa Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,* 14wa nne Nethaneli, wa tano Radai, 15wa sita Osemu, na wa saba Daudi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.