1 Nyakati 2:15
1 Chronicles 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wa sita Osemu, na wa saba Daudi.
1 Chronicles 2:15 in English
1 Chronicles 2:15 · Berean Standard Bible
Ozem sixth, and David seventh.
Context
13Yese akawazaa
Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,* 14wa nne Nethaneli, wa tano Radai, 15wa sita Osemu, na wa saba Daudi. 16Dada zao walikuwa Seruya na Abigaili. Wana wa Seruya walikuwa watatu: Abishai, Yoabu na Asaheli. 17Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.