1 Nyakati 2:17
1 Chronicles 2:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
1 Chronicles 2:17 in English
1 Chronicles 2:17 · Berean Standard Bible
Abigail was the mother of Amasa, whose father was Jether * the Ishmaelite.
Context
15wa sita Osemu, na wa saba Daudi. 16Dada zao walikuwa Seruya na Abigaili. Wana wa Seruya walikuwa watatu: Abishai, Yoabu na Asaheli. 17Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli. 18Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni. 19Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.