1 Nyakati 2:19
1 Chronicles 2:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.
1 Chronicles 2:19 in English
1 Chronicles 2:19 · Berean Standard Bible
When Azubah died, Caleb married Ephrath,* who bore to him Hur.
Context
17Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli. 18Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni. 19Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri. 20Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli. 21Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.