1 Nyakati 2:20
1 Chronicles 2:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli.
1 Chronicles 2:20 in English
1 Chronicles 2:20 · Berean Standard Bible
Hur was the father of Uri, and Uri was the father of Bezalel.
Context
18Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni. 19Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri. 20Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli. 21Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu. 22Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.