Native Bible

1 Chronicles 2:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.

1 Chronicles 2:22 in English

1 Chronicles 2:22 · Berean Standard Bible

Segub was the father of Jair, who had twenty-three cities in the land of Gilead.

Context

20Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli. 21Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu. 22Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi. 23(Lakini Geshuri na Aramu wakateka miji ya Hawoth-Yairi, pamoja na Kenathi na viunga vyake; jumla ilikuwa miji sitini.) Wote hawa walikuwa wazao wa Makiri babaye Gileadi. 24Baada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.