1 Nyakati 2:24
1 Chronicles 2:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa.
1 Chronicles 2:24 in English
1 Chronicles 2:24 · Berean Standard Bible
After Hezron died in Caleb-ephrathah, his wife Abijah bore * to him Ashhur the father * of Tekoa.
Context
22Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi. 23(Lakini Geshuri na Aramu wakateka miji ya Hawoth-Yairi, pamoja na Kenathi na viunga vyake; jumla ilikuwa miji sitini.) Wote hawa walikuwa wazao wa Makiri babaye Gileadi. 24Baada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa. 25Wana wa Yerameeli mzaliwa wa kwanza wa Hesroni walikuwa:
Ramu mzaliwa wake wa kwanza, Buna, Oreni, Osemu na Ahiya. 26Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.