Native Bible

1 Chronicles 2:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wa nne Nethaneli, wa tano Radai,

1 Chronicles 2:14 in English

1 Chronicles 2:14 · Berean Standard Bible

Nethanel fourth, Raddai fifth,

Context

12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese. 13Yese akawazaa Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,* 14wa nne Nethaneli, wa tano Radai, 15wa sita Osemu, na wa saba Daudi. 16Dada zao walikuwa Seruya na Abigaili. Wana wa Seruya walikuwa watatu: Abishai, Yoabu na Asaheli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.