1 Nyakati 2:46
1 Chronicles 2:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.
1 Chronicles 2:46 in English
1 Chronicles 2:46 · Berean Standard Bible
Caleb’s concubine Ephah was the mother of Haran, Moza, and Gazez. Haran was the father of Gazez.
Context
44Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai. 45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri. 46Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi. 47Wana wa Yadai walikuwa:
Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu. 48Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.