Native Bible

1 Chronicles 2:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Yadai walikuwa: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.

1 Chronicles 2:47 in English

1 Chronicles 2:47 · Berean Standard Bible

The sons of Jahdai: Regem, Jotham, Geshan, Pelet, Ephah, and Shaaph.

Context

45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri. 46Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi. 47Wana wa Yadai walikuwa: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu. 48Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana. 49Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.