Native Bible

1 Chronicles 2:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.

1 Chronicles 2:48 in English

1 Chronicles 2:48 · Berean Standard Bible

Caleb’s concubine Maacah was the mother of Sheber and Tirhanah.

Context

46Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi. 47Wana wa Yadai walikuwa: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu. 48Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana. 49Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa. 50Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa: Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.