Native Bible

1 Chronicles 2:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa: Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu,

1 Chronicles 2:50 in English

1 Chronicles 2:50 · Berean Standard Bible

These were the descendants of Caleb. The sons * of Hur the firstborn of Ephrathah:* Shobal the father of Kiriath-jearim,

Context

48Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana. 49Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa. 50Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa: Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu, 51Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi. 52Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa: Haroe, nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.