1 Nyakati 2:51
1 Chronicles 2:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi.
1 Chronicles 2:51 in English
1 Chronicles 2:51 · Berean Standard Bible
Salma the father of Bethlehem, and Hareph the father of Beth-gader.
Context
49Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa. 50Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu.
Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa:
Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu, 51Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi. 52Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa:
Haroe, nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi, 53pamoja na koo za Kiriath-Yearimu ambazo ni: Waithiri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. Kutokana na watu hawa walizaliwa Wasorathi na Waeshtaoli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.