1 Nyakati 2:45
1 Chronicles 2:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri.
1 Chronicles 2:45 in English
1 Chronicles 2:45 · Berean Standard Bible
The son of Shammai was Maon, and Maon was the father of Beth-zur.
Context
43Hebroni alikuwa na wana wanne:
Kora, Tapua, Rekemu na Shema. 44Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai. 45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri. 46Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi. 47Wana wa Yadai walikuwa:
Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.