Native Bible

1 Chronicles 2:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai.

1 Chronicles 2:44 in English

1 Chronicles 2:44 · Berean Standard Bible

Shema was the father of Raham the father of Jorkeam, and Rekem was the father of Shammai.

Context

42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni. 43Hebroni alikuwa na wana wanne: Kora, Tapua, Rekemu na Shema. 44Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai. 45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri. 46Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.