Native Bible

1 Chronicles 2:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hebroni alikuwa na wana wanne: Kora, Tapua, Rekemu na Shema.

1 Chronicles 2:43 in English

1 Chronicles 2:43 · Berean Standard Bible

The sons of Hebron: Korah, Tappuah, Rekem, and Shema.

Context

41Shalumu akamzaa Yekamia, naye Yekamia akamzaa Elishama. 42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni. 43Hebroni alikuwa na wana wanne: Kora, Tapua, Rekemu na Shema. 44Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai. 45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.