Native Bible

1 Chronicles 2:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.

1 Chronicles 2:42 in English

1 Chronicles 2:42 · Berean Standard Bible

The sons of Caleb the brother of Jerahmeel: Mesha * his firstborn, who was the father of Ziph, and Mareshah his second son, who was the father of Hebron.

Context

40Eleasa akamzaa Sismai, Sismai akamzaa Shalumu, 41Shalumu akamzaa Yekamia, naye Yekamia akamzaa Elishama. 42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni. 43Hebroni alikuwa na wana wanne: Kora, Tapua, Rekemu na Shema. 44Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.