1 Nyakati 2:41
1 Chronicles 2:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shalumu akamzaa Yekamia, naye Yekamia akamzaa Elishama.
1 Chronicles 2:41 in English
1 Chronicles 2:41 · Berean Standard Bible
Shallum was the father of Jekamiah, and Jekamiah was the father of Elishama.
Context
39Azaria akamzaa Helesi,
Helesi akamzaa Eleasa, 40Eleasa akamzaa Sismai,
Sismai akamzaa Shalumu, 41Shalumu akamzaa Yekamia,
naye Yekamia akamzaa Elishama. 42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa:
Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni. 43Hebroni alikuwa na wana wanne:
Kora, Tapua, Rekemu na Shema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.