Native Bible

1 Chronicles 2:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Eleasa akamzaa Sismai, Sismai akamzaa Shalumu,

1 Chronicles 2:40 in English

1 Chronicles 2:40 · Berean Standard Bible

Elasah was the father of Sismai, Sismai was the father of Shallum,

Context

38Obedi akamzaa Yehu, Yehu akamzaa Azaria, 39Azaria akamzaa Helesi, Helesi akamzaa Eleasa, 40Eleasa akamzaa Sismai, Sismai akamzaa Shalumu, 41Shalumu akamzaa Yekamia, naye Yekamia akamzaa Elishama. 42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.