1 Nyakati 18:15
1 Chronicles 18:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu;
1 Chronicles 18:15 in English
1 Chronicles 18:15 · Berean Standard Bible
Joab son of Zeruiah was over the army; Jehoshaphat son of Ahilud was the recorder;
Context
13Akaweka kambi za askari walinzi huko Edomu, nao Waedomu wote wakawa watumishi wa Daudi. Bwana akampa Daudi ushindi kila alipokwenda. 14Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote. 15Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; 16Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Shausha alikuwa mwandishi; 17naye Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa maafisa wakuu katika utumishi wa mfalme.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.