Native Bible

1 Chronicles 18:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.

1 Chronicles 18:14 in English

1 Chronicles 18:14 · Berean Standard Bible

Thus David reigned over all Israel and administered justice and righteousness for all his people:

Context

12Abishai mwana wa Seruya akawaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi. 13Akaweka kambi za askari walinzi huko Edomu, nao Waedomu wote wakawa watumishi wa Daudi. Bwana akampa Daudi ushindi kila alipokwenda. 14Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote. 15Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; 16Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Shausha alikuwa mwandishi;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.