Native Bible

1 Chronicles 18:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Shausha alikuwa mwandishi;

1 Chronicles 18:16 in English

1 Chronicles 18:16 · Berean Standard Bible

Zadok son of Ahitub and Ahimelech * son of Abiathar were priests; Shavsha * was the scribe;

Context

14Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote. 15Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; 16Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Shausha alikuwa mwandishi; 17naye Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa maafisa wakuu katika utumishi wa mfalme.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.