Native Bible

1 Chronicles 16:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa; waambieni matendo yake yote ya ajabu.

1 Chronicles 16:9 in English

1 Chronicles 16:9 · Berean Standard Bible

Sing to Him, sing praises to Him; tell of all His wonders.

Context

7Siku ile, kitu cha kwanza Daudi alichofanya ni kumkabidhi Asafu na wenzake zaburi hii ya shukrani kwa Bwana: 8Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 9Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa; waambieni matendo yake yote ya ajabu. 10Lishangilieni jina lake takatifu; mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 11Mtafuteni Bwana na nguvu zake; utafuteni uso wake siku zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.