1 Nyakati 16:10
1 Chronicles 16:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lishangilieni jina lake takatifu; mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi.
1 Chronicles 16:10 in English
1 Chronicles 16:10 · Berean Standard Bible
Glory in His holy name; let the hearts of those who seek the LORD rejoice.
Context
8Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake;
wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 9Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa;
waambieni matendo yake yote ya ajabu. 10Lishangilieni jina lake takatifu;
mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 11Mtafuteni Bwana na nguvu zake;
utafuteni uso wake siku zote. 12Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya,
miujiza yake na hukumu alizozitamka,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.