Native Bible

1 Chronicles 16:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtafuteni Bwana na nguvu zake; utafuteni uso wake siku zote.

1 Chronicles 16:11 in English

1 Chronicles 16:11 · Berean Standard Bible

Seek out the LORD and His strength; seek His face always.

Context

9Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa; waambieni matendo yake yote ya ajabu. 10Lishangilieni jina lake takatifu; mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 11Mtafuteni Bwana na nguvu zake; utafuteni uso wake siku zote. 12Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka, 13enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo, wateule wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.