1 Nyakati 16:13
1 Chronicles 16:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
1 Chronicles 16:13 in English
1 Chronicles 16:13 · Berean Standard Bible
O offspring of His servant Israel, O sons of Jacob, His chosen ones.
Context
11Mtafuteni Bwana na nguvu zake;
utafuteni uso wake siku zote. 12Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya,
miujiza yake na hukumu alizozitamka, 13enyi wazao wa Israeli mtumishi wake,
enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 14Yeye ndiye Bwana Mungu wetu;
hukumu zake zimo duniani pote. 15Hulikumbuka agano lake milele,
neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.