Native Bible

1 Chronicles 16:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka,

1 Chronicles 16:12 in English

1 Chronicles 16:12 · Berean Standard Bible

Remember the wonders He has done, His marvels, and the judgments He has pronounced,

Context

10Lishangilieni jina lake takatifu; mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 11Mtafuteni Bwana na nguvu zake; utafuteni uso wake siku zote. 12Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka, 13enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 14Yeye ndiye Bwana Mungu wetu; hukumu zake zimo duniani pote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.