1 Nyakati 16:8
1 Chronicles 16:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.
1 Chronicles 16:8 in English
1 Chronicles 16:8 · Berean Standard Bible
“Give thanks to the LORD; call upon His name; make known His deeds among the nations.
Context
6nao Benaya na Yahazieli makuhani, ndio wangepiga tarumbeta mara kwa mara mbele ya Sanduku la Agano la Mungu. 7Siku ile, kitu cha kwanza Daudi alichofanya ni kumkabidhi Asafu na wenzake zaburi hii ya shukrani kwa Bwana: 8Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake;
wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 9Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa;
waambieni matendo yake yote ya ajabu. 10Lishangilieni jina lake takatifu;
mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.