Native Bible

1 Chronicles 1:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.

1 Chronicles 1:9 in English

1 Chronicles 1:9 · Berean Standard Bible

The sons of Cush: Seba, Havilah, Sabta,* Raamah, and Sabteca. The sons of Raamah: Sheba and Dedan.

Context

7Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 8Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani. 9Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani. 10Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. 11Misraimu akawazaa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.