Native Bible

1 Chronicles 1:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Misraimu akawazaa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,

1 Chronicles 1:11 in English

1 Chronicles 1:11 · Berean Standard Bible

Mizraim was the father of the Ludites, the Anamites, the Lehabites, the Naphtuhites,

Context

9Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani. 10Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. 11Misraimu akawazaa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi, 12Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori. 13Wana wa Kanaani walikuwa: Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.