1 Nyakati 1:10
1 Chronicles 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi.
1 Chronicles 1:10 in English
1 Chronicles 1:10 · Berean Standard Bible
Cush was the father of Nimrod, who began to be a mighty one * on the earth.
Context
8Wana wa Hamu walikuwa:
Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani. 9Wana wa Kushi walikuwa:
Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka.
Wana wa Raama walikuwa:
Sheba na Dedani. 10Kushi akamzaa
Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. 11Misraimu akawazaa:
Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi, 12Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.