Native Bible

1 Chronicles 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani.

1 Chronicles 1:8 in English

1 Chronicles 1:8 · Berean Standard Bible

The sons of Ham: Cush, Mizraim, Put, and Canaan.

Context

6Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 7Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 8Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani. 9Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani. 10Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.