Native Bible

1 Chronicles 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.

1 Chronicles 1:7 in English

1 Chronicles 1:7 · Berean Standard Bible

And the sons of Javan: Elishah, Tarshish, the Kittites, and the Rodanites.

Context

5Wana wa Yafethi walikuwa: Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 6Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 7Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 8Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani. 9Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.