1 Nyakati 1:6
1 Chronicles 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma.
1 Chronicles 1:6 in English
1 Chronicles 1:6 · Berean Standard Bible
The sons of Gomer: Ashkenaz, Riphath,* and Togarmah.
Context
4Wana wa Noa walikuwa:
Shemu, Hamu na Yafethi. 5Wana wa Yafethi walikuwa:
Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 6Wana wa Gomeri walikuwa:
Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 7Wana wa Yavani walikuwa:
Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 8Wana wa Hamu walikuwa:
Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.